Habari RFI-Ki

Utawala wa Trump Wapiga marufuku dhidi ya wahamiaji nchini Marekani.

Sauti 09:59
U.S. President Donald Trump speaks to commanders and coalition representatives during a visit to U.S. Central Command and U.S. Special Operations Command at MacDill Air Force Base in Tampa, Florida, U.S., February 6, 2017.
U.S. President Donald Trump speaks to commanders and coalition representatives during a visit to U.S. Central Command and U.S. Special Operations Command at MacDill Air Force Base in Tampa, Florida, U.S., February 6, 2017. REUTERS/Carlos Barria

Serikali ya Marekanikani imewazuia wahamiaji kutoka mataifa saba ya Kiislamu kuingia nchini humo.Rais Trump amesema uamuzi wake ni kuzuia watu wabaya kuja Marekani.Je wewe msikilizaji wetu unamaoni gani juu ya hatua hii