Wimbi la Siasa

Serikali ya Burundi kugomea mazungumzo na hatima ya nchi

Sauti 09:59
Mratibu wa usuluhishi wa mgogoro wa Burundina rais wa zamani wa Tanzania Benjamin Mkapa
Mratibu wa usuluhishi wa mgogoro wa Burundina rais wa zamani wa Tanzania Benjamin Mkapa RFI

Mazungumzo ya amani ya Burundi yanaendelea kusuasua baada ya Serikali ya nchi hiyo kukataa kushiriki mazungumzo yaliyoitishwa Mjini Arusha na Mratibu wa usuluhishi na Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa. Nini hatima na mustakabali wa baadaye wa Burundi? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa  hapa RFI Kiswahili kupata majibu ya swali hilo.