Gurudumu la Uchumi

Ziara ya rais wa Uganda nchini Tanzania na kwanini hawajasaini mkataba wa EPA

Sauti 09:19
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, wakati alipowasili jijini Dar es Salaam, Tanzania kwa ziara ya kikazi
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, wakati alipowasili jijini Dar es Salaam, Tanzania kwa ziara ya kikazi Ikulu/Tanzania

Mtangazaji wa makala haya juma hili amezungumzia ziara ya rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni nchini Tanzania, ambako alikutana na mwenyeji wake John Pombe Magufuli.Wamezungumza mengi viongozi hawa lakini kubwa ni biashara baina ya nchi hiyo mbili pamoja na mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na nchi za Ulaya maarufu kama EPA, mkataba ambao Tanzania na Uganda bado hazijautia saini.