Gurudumu la Uchumi

Namna sanaa ya uchoraji inavyoweza tumika kukuza uchumi

Imechapishwa:

Juma hili kwenye makala ya Gurudumu la Uchumi, mtangazaji wa makala haya amezungumza na msanii anayechora vibonzo Mohamed Jumanne maarufu kwa jina la kisanii kama Dr. Meddy, wamezungumzia masuala mbalimbali ikiwemo namna sanaa hii inavyoweza kutumika kukuza kipato cha mtu na kuchangia kwenye pato la taifa.

Mtangazaji wa makala ya Uchumi Emmanuel Makundi (kushoto) akiwa na Dr. Meddy mchora vibonzo.
Mtangazaji wa makala ya Uchumi Emmanuel Makundi (kushoto) akiwa na Dr. Meddy mchora vibonzo. RFI/Emmanuel Mbando