Gurudumu la Uchumi

Ujenzi wa reli za kisasa kwenye nchi za Afrika Mashariki

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia namna ambavyo nchi wanachama za Afrika Mashariki zimeanza harakati za kukamilisha ujenzi wa reli za kisasa kuunganisha mataifa yao, Kenya wanaelekea kumaliza na Tanzania na Uganda zinaelekea kuanza, lakini nini faida ya reli hizi za kisasa? Mtangazaji wa makala haya amezungumza na Dr Wetengere Kitojo, mchambuzi wa masuala ya uchumi akiwa Dar es Salaam, Tanzania pamoja na wananchi wa Kenya.

Sehemu ya vichwa vya treni iendayo kasi nchini Kenya wakati vilipozinduliwa.
Sehemu ya vichwa vya treni iendayo kasi nchini Kenya wakati vilipozinduliwa. Ikulu/Kenya
Vipindi vingine