Kumalizika kwa kongamano la kibiashara kati ya Ufaransa na Tanzania

Sauti 09:51
Makamu wa rais wa Tanzania Samia Suluhu akiteta jambo na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Malika Berak. April 3, 2017.
Makamu wa rais wa Tanzania Samia Suluhu akiteta jambo na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Malika Berak. April 3, 2017. Tanzania/VPO

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia yaliyojiri na kukubaliwa kwenye mkutano wa Jukwaa la kibiashara kati ya Ufaransa na Tanzania, hili likiwa ni kongamano la kwanza la aina hii kufanyika kati ya nchi ya Ufaransa na Tanzania, uwekezaji likiwa ni suala lililopewa kipaumbele.