Bara la Afrika halipaswi kuogopa kutokana na kukua kwa vyama vyenye misimamo mikali Ulaya

Sauti 09:41
Mmoja wa wagombea urais nchini Ufaransa, Benon Hammon.
Mmoja wa wagombea urais nchini Ufaransa, Benon Hammon. REUTERS/Charles Platiau

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia kukua kwa vyama vyenye msimamo mkali barani Ulaya, je bara la Afrika lina chakuogopa kutokana na vyama hivi kuendelea kuchukua nchi barani Ulaya? Wataalamu wanamtazamo gani? Ungana na mtangazaji wa makala haya kujua mengi.