Mchango wa vyombo vya habari katika kukuza uchumi na maendeleo

Sauti 09:35
PIUS UTOMI EKPEI / AFP

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia mchango wa vyombo vya habari kwenye kusaidia kukuza uchumi na maendeleo ya nchi wakati huu dunia ikiadhimisha siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari duniani.