Ushindi wa Macron unaashirikia nini kwa uchumi wa dunia

Sauti 09:52
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron.
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. REUTERS/Francois Lenoir

Mtangazaji wa makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili anaangazia na wachambuzi wa mambo kuhusu ushindi wa rais mteule wa Ufaransa Emmanuel Macron, ambaye ni mwanasiasa mwenye mrengo wa kati anayeunga mkono nchi yake kusalia kwenye umoja wa Ulaya.Ushindi wake unatoa taswira gani ya uchumi wa dunia na Sera yake kwa nchi za Afrika?