Ufaransa watakavyomkumbuka Fraoncois Hollande

Sauti 10:10
Rais mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron akiagana na François Hollande aliyemaliza muda wake
Rais mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron akiagana na François Hollande aliyemaliza muda wake REUTERS/Yoan Valat/Pool

Francois Hollande aliyekua rais wa Ufaransa amemaliza muda wake na kuiaga Ikulu ya Ufaransa na kumwachia kijiti Rais mpya Emmanuel Macron ambaye sasa anachkua usukani wa kuiongoza nchi hiyo. Pamoja na kuondoka kwake Francois Hollande historia ya nchi hiyo itamweka katika kumbukumbu. Je rais huyo wa mstaafu atakumbukwa kwa yapi? Fuatilia Makala haya ya Wimbi la Siasa na Victor Robert Wile kupata undani wa mada hivyo.