Hali ya uchumi wa DRC miaka 20 baada ya kuanguka kwa utawala wa Mobutu wananchi wanasemaje

Sauti 10:19
Mobutu Sese Seko rais wa zamani wa DRC hapa ilikuwa tarehe 9 Desemba 1984 akiwa na rais wa Ufaransa François Mitterrand.
Mobutu Sese Seko rais wa zamani wa DRC hapa ilikuwa tarehe 9 Desemba 1984 akiwa na rais wa Ufaransa François Mitterrand. AFP/Georges Gobet

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia miaka 20 baada ya kuanguka kwa utawala wa aliyekuwa rais wa DRC wakati huo ikiitwa Zaire Mobutu Sese Seko, na hii ilikuwa ni siku ambayo Desire Kabila aliipindua Serikali yake.Katika miaka hii 20 DRC inakipi cha kujivunia kiuchumi na maendeleo? Ungana na mtangazaji wa makala haya Emmanuel Makundi ambaye anazungumza na wataalamu wa masuala ya maendeleo na raia wa DRC.