Gurudumu la Uchumi

Rais Magufuli kupokea ripoti ya uchunguzi wa makontena ya mchanga wa madini

Sauti 08:54
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akikagua ripoti ya tume aliyounda kuhusu mchanga wa madini.
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akikagua ripoti ya tume aliyounda kuhusu mchanga wa madini. Ikulu/Tanzania

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia ripoti ya uchunguzi kuhusu makontena ya mchanga wa madini yaliyozuiliwa bandarini jijini Dar es Salaam, Tanzania, ambapo tume iliyoundwa na rais John Magufuli iliwasilisha waliyobaini kutokana na uchunguzi wao.