Gurudumu la Uchumi

Hatimaye Kenya yazindua rasmi safari za treni ya mwendo kasi kutoka Mombasa hadi Nairobi

Sauti 09:32
Rais Kenyatta akiwa amewasili Nairobi akitokea Mombasa kwa kutumia treni ya mwendo kasi
Rais Kenyatta akiwa amewasili Nairobi akitokea Mombasa kwa kutumia treni ya mwendo kasi Ikulu/Kenya

Makala ya Uchumi juma hili inaangazia hatua ya nchi ya Kenya kuzindua rasmi safari za treni ya mwendo kasi kutoka Mombasa hadi Nairobi ambapo baadae inatarajiwa kuunganisha nchi za Uganda, Burundi, Rwanda, Sudan Kusini na Ethiopia. Ujenzi wa reli hii utaisaidiaje nchi ya Kenya kiuchumi? Mtangazaji wa makala haya anazungumza na wataalamu wa masuala ya uchumi kuchambua.