Wimbi la Siasa

Uchaguzi DRC bado njia panda

Sauti 09:59
Rais wa DRC  Joseph Kabila
Rais wa DRC Joseph Kabila REUTERS/Kenny Katombe

Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia, DRC Joseph Kabila  alisema kuwa hajawahi kuahidi kuwa uchaguzi utafanyika lini na akasisitiza kuwa uchaguzi bora utafanyika na si bora uchaguzi katika mazingira ya amani na usalama. Je wajua mustakabali wa uchaguzi wa DRC? ungana na Victor Robert Wile katika Makala haya ya Wimbi la Siasa kupata kinaga ubaga cha suala hilo.