Gurudumu la Uchumi

Namna watu wenye ulemavu wanavyojikwamua kiuchumi kupitia sanaa

Sauti 09:41
Sehemu ya vitu vya sanaa vinavyotengenezwa kwa kutumia chuma na watu wenye ulemavu kwenye karakana ya wonder workshop, Tanzania
Sehemu ya vitu vya sanaa vinavyotengenezwa kwa kutumia chuma na watu wenye ulemavu kwenye karakana ya wonder workshop, Tanzania RFI/Emmanuel Makundi

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inazungumza na watu wenye ulemavu kwenye karakana ya Wonder Workshop iliyoko jijini Dar es Salaam, ambapo wanatumia sanaa ya kutumia chuma kutengeneza maumbo mbalimbali, sanaa ambayo wanasema imewatoa kwenye kuomba hadi kufikia angalau kuwa na uwezo wa kujikimu na kuingiza kipato.Mtangazaji wa makala haya alitembelea karakana hiyo na kuzungumza na Shukuru meneja wa karakana hiyo.