Wimbi la Siasa

Umoja wa Mataifa waonya hali ya usalama Jamhuri ya Afrika ya Kati

Sauti 10:01
Raia wakiandamana mjini Bangui nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kupinga walinda amani wa Umoja Mataifa MINUSCA Oktoba 24, 2016
Raia wakiandamana mjini Bangui nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kupinga walinda amani wa Umoja Mataifa MINUSCA Oktoba 24, 2016 Reuters

Umoja wa Mataifa hivi karibuni ulisema kuwa nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati inabiliwa na ombwe kubwa la kiusalama na kwamba jitihada zaidi zinahitajika ili kusaidia nchi hiyo kuepuka kurudi ilikotoka. Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kupata undani wa mada hii.