Gurudumu la Uchumi

Matarajio ya kiuchumi kwa nchi za Rwanda na Kenya baada ya uchaguzi unaokuja

Sauti 09:29
Masanduku ya kupigia kura
Masanduku ya kupigia kura © REUTERS/Siegfried Modola

Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili inaangazia harakati za kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa nchini Kenya wa Agosti 8 na ule wa nchini Rwanda wa Agosti 4, nini kitarajiwe kwa viongozi wanaokuja na hali ya uchumi ya wananchi?