Gurudumu la Uchumi

Sehemu ya kwanza mjadala kuhusu malengo endelevu ya umoja wa Mataifa

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala haya juma hili anaangazia malengo endelevu ya umoja wa Mataifa ambayo yako takribani 17 wakati huu mkutano mkuu wa umoja wa Mataifa ukiwa unafanyika. Je malengo haya ya mwaka 2030 yatafikiwa na nchi nyingi duniani? Mjadala wetu leo unajikita hapa, mtangazaji amewaalika Dr Wetengere Kitojo mtaalamu wa uchumi na mhadhiri katika chuo cha Diplomasia na Julius Kiting'ati yeye ni balozi wa malengo endelevu ya umoja wa Mataifa.

Nembo ya umoja wa Mataifa kama inavyoonekana wakati wa mkutano mkuu wa baraza la umoja wa Mataifa. Tarehe 22 Septemba 2017
Nembo ya umoja wa Mataifa kama inavyoonekana wakati wa mkutano mkuu wa baraza la umoja wa Mataifa. Tarehe 22 Septemba 2017 REUTERS/Lucas Jackson