Sehemu ya 2 mjadala kuhusu maendeleo endelevu ya umoja wa Mataifa

Sauti 10:01
Rais wa kikao cha umoja wa Mataifa UNGA kilichofanyika hivi karibuni, Miroslav Lajcak
Rais wa kikao cha umoja wa Mataifa UNGA kilichofanyika hivi karibuni, Miroslav Lajcak REUTERS/Lucas Jackson

Mtangazaji wa makala haya juma hili anakueletea sehemu ya pili ya makala ya Gurudumu la Uchumi kuhusu maendeleo endelevu ya umoja wa Mataifa, malengo ambayo yameendelea kuwa gumzo kidunia huku baadhi yakionekana kuwa magumu kufikiwa na mataifa yanayoendelea.