Afrika itumie TEHAMA kwa maendeleo na ukuaji wa uchumi

Sauti 08:56
Mfano wa simu ambayo inaweza kutumika kufanya biashara kwa kutumia programu maalumu
Mfano wa simu ambayo inaweza kutumika kufanya biashara kwa kutumia programu maalumu 路透社 Reuters

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inazungumzia kuhusu matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwa njia ya mtandao hasa katika matumizi ya programu za simu na tovuti kwaajili ya kufanya biashara na mawasiliano.