Kipindi maalumu dira ya uchumi ya Mwl Julius Nyerere kwa Tanzania na Afrika

Sauti 10:14
Rais wa kwanza wa Tanzania hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere.
Rais wa kwanza wa Tanzania hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere. Butiama Gallery/Govt

Juma hili kwenye makala ya uchumi tunakuletea kipindi maalumu kuhusu miaka 18 tangu kifo cha muasisi wa taifa la Tanzania Mwl Julius Kambarage Nyerere maadhimisho yatakayofanyika Octoba 14. Mtayarishaji wa makala haya anaangazia dira ya uchumi na maendeleo ya viwanda aliyokuwanayo Mwl Nyerere.