Ziara ya Rais Salva Kiir nchini Sudani na changamoto za mgogoro wa kisiasa

Sauti 10:02
Rais wa Sudani Kusini Salva Kiir ambaye alifanya ziara nchini Sudani Kharthoum
Rais wa Sudani Kusini Salva Kiir ambaye alifanya ziara nchini Sudani Kharthoum REUTERS/Jok Solomun

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir hivi karibuni alifanya ziara nchini Sudan Kharthoum na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Omar Al Bashir wakilenga kuimarisha uhusiano na kuondoa hali ya wasiwasi baina ya pande hizo mbili kutokana na kushutumiana mara kwa mara kila upande ukilaumu upande mwingine kwa kusaidia waasi. Ziara hiyo inaweza kuwa mwarobaini wa mgogoro wa Sudani Kusini? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala haya ya Wimbi la Siasa kujua mustakabali wa Sudani Kusini.