Wimbi la Siasa

Majaji wa Mahakama ya Juu nchini Kenya kuamua hatima ya ushindi wa Kenyatta

Sauti 09:59
Jaji David Maraga na majaji wenzake wanaotarajiwa kufuta uchaguzi ama la
Jaji David Maraga na majaji wenzake wanaotarajiwa kufuta uchaguzi ama la REUTERS/Baz Ratner

Mahakama ya Juu nchini Kenya inatarajiwa kuanza kusikiliza kesi za kupinga uchaguzi wa marudio uliofanyika Oktoba 26, 2017 ukidaiwa kuwa haukuwa huru, haki na wa kuaminika. Swali ni je majaji wa mahakama hiyo watafuta tena uchaguzi kama ilivyokua katika uchaguzi wa Agosti 8 mwaka huu ? Makinika na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kupata uchambuzi wa kina.