Namna ya Kutekeleza Mipango ya Mwaka kwa Kuzingatia Bajeti Yako

Sauti 09:03
Sehemu ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lililoko mjini Dodoma Tanzania ambako Serikali inahamia.
Sehemu ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lililoko mjini Dodoma Tanzania ambako Serikali inahamia. Ikulu/Tanzania

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imeangazia namna bora ya mtu kuzingatia bajeti katika kutekeleza malengo ambayo mtu amejiwekea kuyatimiza kwa mwaka. Mtangazaji wa makala hii amezungumza na Dr Wetengere Kitojo mtaalamu wa masuala ya uchumi kutoka Dar es Salaam.