Wajibu wa Vijana Katika Ujenzi wa Uchumi wa Nchi
Imechapishwa:
Sauti 09:37
Mtangazaji wa makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili ameangazia wajibu walionao vijana katika ushiriki wa shughuli za kiuchumi kwa nchi lakini kwa uchumi wao binafsi. Mtangazaji amezungumza na Julius Kitang'ati yeye ni balozi wa malengo endelevu ya umoja wa Mataifa.