Ziara ya Rais Paul Kagame nchini Tanzania na ushirikiano wa nchi hizi mbili

Sauti 10:06
Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli. 12 Juni, 2017
Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli. 12 Juni, 2017 Ikulu/Tanzania

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia ziara ya rais wa Rwanda nchini Tanzania Paul Kagame ambaye alikutana na mweyeji wake rais John Magufuli ambao walitiliana saini mikataba kadhaa ya ushirikiano ikiwemo ujenzi wa reli ya kisasa.