Kuhusu mkutano wa Davos na namna utandawazi unavyoteteresha uchumi wa dunia

Sauti 09:56
Rais wa MarekaniDonald Trump ambaye alihudhuria mkutano wa DAVOS
Rais wa MarekaniDonald Trump ambaye alihudhuria mkutano wa DAVOS 路透社

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia kinachojiri na yaliyojadiliwa kwenye mkutano wa jukwaa la kiuchumi mjini Davos, ambapo baadhi ya viongozi wa dunia wameeleza wasiwasi wao kuhusu utandawazi na namna unavyoathiri uchumi wa dunia.