Mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika na hali ya uchumi wa bara lao

Sauti 09:36
Mkutano wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia
Mkutano wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia SIMON MAINA / AFP

Mtangazaji wa makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia mkutano wa wakuu wa nchi na masuala waliyokubaliana katika kuimarisha uchumi wa bara la Afrika na kuwa lenye ushindani na nchi zilizoendelea.