Athari za matumizi ya dola na ukuaji wa uchumi
Imechapishwa:
Sauti 09:26
Mtangazaji wa makala haya juma hili anaangazia hatua ya Tanzania kutangaza udhibiti wa matumizi ya dola katika manunuzi ya ndani isipokuwa kwa wageni, mtaalamu wa masuala ya uchumi anafafanua ikiwa matumizi ya dola yanaathari kwa uchumi.