Ripoti Kuhusu Tatizo la Ajira kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati

Sauti 09:16
Vijana wakiandamana
Vijana wakiandamana (Reuters)

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imeangazia tatizo la ajira katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kati na namna gani Serikali zinapaswa kulishughulikia tatizo hili.