Gurudumu la Uchumi

Mjadala kuhusu tatizo la Ajira kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati Sehemu ya pili

Sauti 10:06
Vijana wengi huandamana kwa kukosa ajira
Vijana wengi huandamana kwa kukosa ajira 路透社

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inakuletea sehemu ya pili ya mjadala kuhusu tatizo la ajira kwa vijana kwenye nchi za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.