Hali tete ya usalama mashariki mwa DRC na namna inavyoathiri uchumi wa eneo hilo

Sauti 11:32
Muonekano wa eneo la Goma mashariki mwa DRC
Muonekano wa eneo la Goma mashariki mwa DRC AFP/Phil Moore

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia hali ya uchumi wa mashariki wa maeneo ya nchi ya DRC ambako kutokana na hali tete ya usalama, wananchi wanashindwa kushiriki kikamilifu kuijenga nchi yao, viongozi wa eneo hilo wanasemaje licha ya utajiri mkubwa wa madini? Ungana na mtayarishaji wa makala haya.