Changamoto zinazowakabili wajasiriamali wadogowadogo nchini Tanzania

Sauti 09:38
Sehemu ya vitu vya sanaa vinavyotengenezwa kwa kutumia chuma na watu wenye ulemavu
Sehemu ya vitu vya sanaa vinavyotengenezwa kwa kutumia chuma na watu wenye ulemavu RFI/Emmanuel Makundi

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia changamoto ambazo zinawakabili wajasiriamali wadogowadogo nchini Tanzania na namna wanavyoweza kufanya kujikwamua.