Habari RFI-Ki

DRC-UCHAGUZI-JOSEPH KABILA

Sauti 10:09
Maaskofu wa kanisa katoliki nchini DRC
Maaskofu wa kanisa katoliki nchini DRC Photo MONUSCO/ John Bompengo

Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeandika barua kwenda Umoja wa Mataifa kuomba usaidie kuandaa mazingira kabla ya uchaguzi baadaye mwaka huu na pia kumshinikiza rais Joseph kabila kuondoka madarakani. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao ikiwa hatua hii itasaidia kuleta suluhu ya kisiasa nchini DRC.