Gurudumu la Uchumi

Mvutano wa kibiashara kati ya Marekani na Uchina

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia mzozo wa kibiashara ulioibuka hivi karibuni kati ya Marekani na China ambazo kila mmoja ametangaza kuongeza ushuru wa forodha kutoka katika biadhaa ambazo nchi hizo mbili zinabadilishana, hatua ambayo inatishia kutetereka kwa hali ya biashara ya dunia.

Rais Trump akiria saini moja ya amri zake hivi karibuni
Rais Trump akiria saini moja ya amri zake hivi karibuni REUTERS/Jonathan Ernst
Vipindi vingine