Gurudumu la Uchumi

Hali tete ya usalama Sudani Kusini na namna inavyoathiri ukuaji wa uchumi wa taofa hilo

Sauti 09:39
Mchuuzi wa mbogamboga mjini Juba Sudan Kusini
Mchuuzi wa mbogamboga mjini Juba Sudan Kusini RFI/Charlotte Cosset

Mtangazaji wa makala haya ameangazia hali tete ya usalama inayoendelea kushuhudiwa nchini Sudan Kusini na namna inavyoathiri ukuaji wa uchumi wa taifa hilo.