Gurudumu la Uchumi

Ushirikiano kati ya sekta binafsi Tanzania na Ufaransa

Sauti 10:02
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Frédéric Clavier akizungumza akiwa Dar es Salaam, 4 Machi 2018.
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Frédéric Clavier akizungumza akiwa Dar es Salaam, 4 Machi 2018. Emmanuel Makundi/RFIKiswahili

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imeangazia mkutano wa hivi karibuni kati ya taasisi ya wafanyabiashara wa sekta binafsi kutoka nchini Ufaransa waliofanya ziara nchini Tanzania kukutana na wenzao wa Tanzania, nini faida za mkutano na ziara hii? Fuatilia makala hay.