Gurudumu la Uchumi

Kuimarika kwa uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya Tanzania na Israel

Sauti 10:09
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, October 30, 2015.
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, October 30, 2015. REUTERS/Sadi Said

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia kuanza kurejea kwa mahusiano ya kawaida ya kidiplomasia na kiuchumi kati ya nchi ya Israel na Tanzania, ambapo Tanzania imefungua rasmi ubalozi wake nchini Israel.