Athari za kiuchumi kwa nchi ya Iran baada ya Marekani kujitoa kwenye mkataba wa kimataifa wa nyuklia

Sauti 09:26
Rais wa Marekani, Donald Trump
Rais wa Marekani, Donald Trump Rick Loomis/Getty Images/AFP

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia hatua ya Marekani kujitoa kwenye mkataba wa kimataifa wa nyuklia wa Iran pamoja na kutangaza vikwazo vya kiuchumi dhidi ya taifa hilo, je kutakuwa na athari gani kwa uchumi wa dunia?