Gurudumu la Uchumi

Maandalizi kuelekea maonesho ya kimataifa ya saba saba nchini Tanzania manufaa yake kiuchumi

Sauti 09:52
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tan Trade) Edwin Rutageruka akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya RFI
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tan Trade) Edwin Rutageruka akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya RFI Tan Trade

Makala haya juma hili inazungumza na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, TanTrade nchini Tanzania kuhusu maandalizi kuelekea maonesho ya kimataifa ya saba saba ambayo hufabnyika nchini Tanzania kila ifikapo mwezi wa saba.