Mkutano wa wakuu wa nchi za G7 na mvutano wao na rais wa Marekani

Sauti 09:47
Waziri mkuu wa Canada, Justin Trudeau na viongozi wengine wa G7
Waziri mkuu wa Canada, Justin Trudeau na viongozi wengine wa G7 REUTERS

Makala haya juma hili inaangazia changamoto zilizojitokeza wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi 7a zenye nguvu ya kiuchumi duniani waliokutana nchini Canada, ambapo walivutana pakubwa na rais wa Marekano Donald Trump aliyetangaza kuongeza tozo kwenye bidhaa za chuma na Alminium.