Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Jean Pierre Bemba hatihati kugombea Urais DRC

Sauti 10:01
Jean-Pierre Bemba aLIYenguliwa kugombea Urais DRC
Jean-Pierre Bemba aLIYenguliwa kugombea Urais DRC JOHN THYS / AFP
Na: Victor Robert Wile

Majina ya wagombea Urais ya awali yametangazwa huku Jean Pierre Bemba akienguliwa na yeye kuapa kukata rufaa kugai haki yake wakati Tume huru ya Uchaguzi CENI ikidai hawezi kugombea kutokana na kesi yake katika mahakama ya ICC. Je unafikiri hali itakuaje na nini hatima ya kiongozi huyo wa upinzani? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kupata undani wa suala hilo.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.