Rais Salva Kiir atangaza kamati ya mpito

Sauti 09:58
Salva Kiir na Riek Machar katika picha hivi karibuni
Salva Kiir na Riek Machar katika picha hivi karibuni YONAS TADESSE / AFP

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ameteua tume ambayo itaratibu mchakato wa kuundwa kwa serikali ya mpito ambayo baadaye itakaa madarakani kwa miaka mitatu kabla ya kufanyika uchaguzi wa kidemokrasia, je hatua hiyo itakua mwarobaini wa kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe na kuleta amani ya kudumu? Ungana na Victor Robert Wile katika makala ya Wimbi la Siasa.