Wimbi la Siasa

Rais Salva Kiir agoma kuunda mahakama maalum Sudan Kusini

Imechapishwa:

Serikali ya Sudan Kusini imetupilia mbali wito uliotolewa na Umoja wa Mataifa pamoja na Umoja wa Afrika wa kutaka serikali hiyo iunde mahakama maalum ya kushughulikia watuhumiwa wa makosa ya uhalifu wa kivita yaliyotekelezwa katika kipindi cha mapigano yaliyozuka mwaka 2013 ikiwa ni miaka miwili tangu nchi hiyo ipate uhuru kutoka Sudan. Je unajua kwa nini Serikali ya Sudan Kusini imegoma kutekeleza woto huo? Fuatilia Makala ya Wimbi Siasa na Victor Robert Wile kujua kulikoni?

Rais Salva Kiir na hasimu wake  Riek Machar
Rais Salva Kiir na hasimu wake Riek Machar SUMY SADURNI / AFP