Wajasiriamali wadogo wanashirikishwa katika ujenzi wa uchumi wa viwanda nchini Tanzania?

Sauti 10:01
Rais wa Tanzania, John Magufuli, serikali yake inatekeleza sera ya uchumi wa viwanda
Rais wa Tanzania, John Magufuli, serikali yake inatekeleza sera ya uchumi wa viwanda afrinews.com

Ushiriki wa wananchi katika uchumi wa viwanda unaohubiriwa na serikali ya Tanzania. Sabina Mpelo amekuandalia makala ya Gurudumu la uchumi