Jua Haki Zako

Haki za Kiuchumi zilivyojadiliwa katika mkutano wa haki za binadamu barani Afrika

Sauti 10:13
Onesmo Ole Ngurumwa ni mwanaharakati kutoka Tanzania, aliyeshiriki Mkutano wa 63 wa haki za binadamu barani Afrika, uliomalizika hivi karibuni nchini Gambia
Onesmo Ole Ngurumwa ni mwanaharakati kutoka Tanzania, aliyeshiriki Mkutano wa 63 wa haki za binadamu barani Afrika, uliomalizika hivi karibuni nchini Gambia Mwananchi

Hivi karibuni kulifanyika mkutano wa 63 wa haki za binadamu barani Afrika ambao uliangazia mwenendo wa haki za binadamu kwa mataifa mbalimbali ya Afrika. Miongoni mwa agenda zilizojadiliwa ni haki za kiuchumi. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya