Kwanini wananchi wengi hawawezi kupanga bajeti mwishoni mwa mwaka?

Sauti 10:01
Shughuli  za kiuchumi katika soko la kariakoo, Jijini Dar es Salaam, Tanzania
Shughuli za kiuchumi katika soko la kariakoo, Jijini Dar es Salaam, Tanzania tanzaniatoday.co.tz

Makala haya ya Gurudumu la Uchumi inaangazia changamoto za raia kushindwa kupanga bajeti hususani mwishoni mwa mwaka na kujikuta wakiwa na changamoto za kiuchumi mwanzoni mwa mwaka. Ungana na Fredrick Nwaka, aliyekuandalia makala haya.