Gurudumu la Uchumi

Kusimama kwa shughuli za Serikali Marekani baada rais Trump kukataa kupitisha bajeti

Sauti 09:34
Waandamanaji nchini Marekani wakipinga kusimamishwa kwa shughuli za Serikali
Waandamanaji nchini Marekani wakipinga kusimamishwa kwa shughuli za Serikali REUTERS/Carlos Barria

Makala ya Uchumi juma hili inaangazia mvutano wa kisiasa nchini Marekani kati ya wabunge wa Democrats na wale wa chama tawala cha Republican kuhusu ufadhili wa fedha kwaajili ya ujenzi wa ukuta kwenye eneo la mpaka wa nchi hiyo na Mexico, mvutano ambao umesababisha kusimama kwa shughuli za Serikali na kuathiri wafanyakazi wa uma zaidi ya laki 8 nchini humo.