Gurudumu la Uchumi

Mzozo kuhusu Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya

Sauti 10:01
Waziri mkuu wa Uingereza, Theresa May akizungumza kwenye bunge la nchi hiyo hivi karibuni.
Waziri mkuu wa Uingereza, Theresa May akizungumza kwenye bunge la nchi hiyo hivi karibuni. Reuters TV via REUTERS

Makala ya Uchumi juma hili inaangazia mvutano kati ya wabunge wa chama tawala na wale wa upinzani nchini Uingereza ambao wanavutana kuhusu kuafikiana na mkataba wa umoja wa Ulaya utakaowezesha nchi hiyo kujitoa kwenye umoja wa Ulaya.Juma hili wabunge karibu wote walikataa mkataba ulioafikiwa kati ya waziri mkuu May na viongozi wa umoja wa Ulaya. Mvutano huu una athari gani za kiuchumi kwa Uingereza?