Pata taarifa kuu
MAREKANI-CHINA-USHIRIKIANO-UCHUMI

China na Marekani zapiga hatua katika mazungumzo yao

China na Marekani wataka kukomesha vita vya kibiashara kati yao.
China na Marekani wataka kukomesha vita vya kibiashara kati yao. REUTERS/Damir Sagolj/
Ujumbe kutoka: RFI
Dakika 1

China na Marekani zimepiga hatua muhimu katika mazungumzo ya kuimarisha na kutatua changamoto za kibiashara kati ya mataifa hayo mawili yenye uchumi mkubwa duniani.

Matangazo ya kibiashara

Rais Donald Trump amesema hivi karibuni, atakutana na mwenzake wa China ili kupata mwafaka wa pamoja.

Tofauti za kibiashara zilianza kuonekana baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa bidhaa zinazoingizwa nchini humo kutoka China.

China imesisitiza kuwepo kwenye mazungumzo tena mazungumzo yenye usawa, huku ikibani kwamba kuaminiana na kuheshimiana ni njia pekee ya kumaliza mzozo wa kiuchumi na biashara kati ya nchi hizo mbili

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.